KAMA wodi ya wagonjwa sasa huko Jangwani inaelekea kujaa kufuatia idadi ya majeruhi kuongezeka ikiwa ni siku chache tangu kutangazwa kuwa nahodha msaidizi wa kikosi hicho, Dickson Job na Clement Mzize ...
MSAKO wa pointi tatu kwa Yanga unaendelea leo huku ikiwa na wimbi kubwa la mastaa majeruhi ambapo wameongezeka wengine wanne na kufikia sita, baada Clement Mzize na Dickon Job kuwa nje.
MJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Swedi Mkwabi amesema suala la Jonathan Sowah bado lipo katika kamati ya nidhamu ya klabu hiyo, hivyo uamuzi wake utatolewa kila kitu kitakapokuwa sawa. Mkwabi a ...
PALE Estádio José Alvalade jijini Lisbon nchini Ureno mbele ya mashabiki 49,155 waliofika uwanjani hapo, wameshuhudia Bodo/Glimt ikishindwa kushikilia bomba kwa Sporting CP na kukubali ...
LIGI Kuu England imekamilisha uchunguzi juu ya malipo ya siri yaliyofanywa na Chelsea kati ya 2011 na 2018 wakati Roman ...
CHELESEA inatarajiwa kukabiliana na adhabu zaidi kutoka mamlaka za soka za England kutokana na uchunguzi unaofanywa na chama ...
UONGOZI wa Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini, umeanza kumfuatilia mshambuliaji nyota wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, Mzimbabwe, Prince Dube, ambaye mkataba wake na kikosi hicho unafikia ...
MATOKEO ya 0-0 katika Dar es Salaam Derby kati ya Azam dhidi ya Yanga, mechi iliyochezwa Jumapili Machi 15, 2026, imeiacha na ...
UONGOZI wa Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini, umeanza kumfuatilia mshambuliaji nyota wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, ...
MARCUS Rashford yupo karibu kukubaliana na masharti ya kujiunga na Barcelona kwa mkataba wa kudumu msimu ujao wa majira ya ...
MASHABIKI wa Manchester United wamekasirishwa na kitendo cha teknolojia ya video inayomsaidia mwamuzi (VAR) kukubali bao la ...
UAMUZI wa kushangaza wa kimkakati wa kocha Arne Slot huku Liverpool wakijikuta wakiteleza kwa sare dhidi ya Tottenham ...