Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kumpigia hesabu Fofana, ambaye anamudu kucheza nafasi tofauti za kiungo mshambuliaji, na tayari ...
LICHA ya kushuka dimbani ikiwa na safu kali ya ushambuliaji inayoundwa na washambuliaji hatari wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, ...
Hata hivyo pamoja na ubora wake ukuta wa mabeki ambao wanamlinda Diarra msimu huu una sura mpya moja tu ya ujio wa beki wa kushoto Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ ambaye kwa sasa ndiye anapata nafasi ...
KOCHA wa FC Barcelona, Hansi Flick amesema kiungo wake Gavi yuko tayari kurejea uwanjani baada ya kukaa nje kwa muda mrefu ...
NYOTA wa zamani wa Scotland, Craig Burley, ameishauri Liverpool kufikiria kumuuza kiungo mshambuliaji Florian Wirtz kutokana ...
KAMA unabisha, wewe bisha tu, ila kuna asilimia kubwa Arsenal ikawa bingwa msimu huu, baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Everton, juzi Jumamosi usiku. Hata hivyo, Kocha wa Manchester ...
Beki na nahodha wa zamani wa Yanga, Juma Abdul ndiye aliyekuwa mchezaji wa kwanza kujiweka mwenyewe wavuni katika Dar Derby ...
INAELEZWA Ceasiaa Queens imemwongeza aliyewahi kuwa kocha mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma kukiongoza kikosi hicho ...
AHODHA wa Chelsea, Reece James ameahidi kubaki muda mrefu zaidi baada ya kusaini mkataba mpya wa miaka sita utakaomuweka ...
KIPIGO kinauma, wewe acha tu! Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amewajibu watu wanaomkosoa na kumshambulia baada ya ...
Timu ya Mbeya City imeshindwa kutamba ikiwa kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara, baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-1, dhidi ya Singida Black Stars, katika ...